Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Amefunguka da Christina...

"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"

"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa"

Christina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.

#kuna uwezekano wa Mond kuokoka mwaka huu[emoji28]View attachment 2763075
Mume wa huyu muMama ni mchungaji lakini age imesonga kidogo haimatch sana. Si unajua makanisa ya huko ndani ndani, huko ndipo alikotokea huyu muMama na mchungaji avuta kitu ndani.

Sasa ya Mama Mchungaji inachemka halafu ya Baba mchungaji inapoa, na ndio sasa mapepo na upepo wa kisulisuli husonga hapo katikati
 
Amefunguka da Christina...

"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"

"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa"

Christina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.

#kuna uwezekano wa Mond kuokoka mwaka huu[emoji28]View attachment 2763075
'Kumchanulia mapaja' mkata kucha, ni mkao tu ili 'kazi' ifanyike
 
Back
Top Bottom