Christina Shusho vs Rose Shaboka

Christina Shusho vs Rose Shaboka

Wote ni mapastor lkn nani anakukosha Zaidi?
Mmoja amekaa kiume (Shusho)
Mmoja amekaa kama mwanamke kweli (Rose)
Anyway, binafsi nampenda Rose Shoboka. Huwa anawafundisha wanawake wajue nafasi zao kama wanawake.
 
Wakati wayahudi wanamsulubu Yesu,walimvalisha taji la miiba wakambandikia kibao juu ya msalaba"huyu ni Yesu mfalme wa wqyahudi"wakidhani wanamdhihaki.....Amina kuu napokea neema uliyonitamkia na baraka zako
wala haikuwa dhihaka mkuu, ilitoka ktk uvungu wa moyo wangu kabisa.
 
hao ni MALAYA wawili ktk ufuska wao. siwezi poteza MUDA kuwasikiliza. wakauze KEI huko
 
Leta ushahidi.
1 Wakorintho 14:34-35
34 Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.

35 Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.

1 Timotheo 2:11-14
11 Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.

12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.

13 Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye.

14 Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.
 
Naomba mstari....

Haya ni maneno ya Paulo...Asante
 
Haya ni maneno ya Paulo...Asante
1 Wakorintho 14:36-38
36 Au je! Neno la Mungu lilitoka kwenu? Au kuwafikia ninyi peke yenu?

37 Mtu akijiona kuwa ni nabii au mtu wa rohoni, na ayatambue hayo ninayowaandikia, ya kwamba ni maagizo ya Bwana.

38 Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga.
 
Back
Top Bottom