Christine Seven Mosha, She manages three of Tanzania’s biggest music acts: Alikiba, Lady Jay Dee and Baraka Da Prince

Christine Seven Mosha, She manages three of Tanzania’s biggest music acts: Alikiba, Lady Jay Dee and Baraka Da Prince

Kiba acha ujinga,chukua mtoto mzuri seven uweke ndani kama mondi na zari,age sio ishu,cha msingi ni potential-ability ya mtoto,si unaona toka diamond amuweke ndani zari anazidi kupaa tu
 
Uko sahihi mkuu hizi ni picha zake za kitambo 1999 akiwa na Irene kiwia
ff9646ff8dfd7783db46313f38ba1b2c.jpg
42af1f7df885622d9c7eb8b624e950a2.jpg
Duu watu wameanza kuliwa kitambo ,maajabu ya ile kitu ukikutana nayo utafikiria wewe ni wa pili

Gabrielle Union atakuwa cousin wao
 
Uko sahihi mkuu hizi ni picha zake za kitambo 1999 akiwa na Irene kiwia
ff9646ff8dfd7783db46313f38ba1b2c.jpg
42af1f7df885622d9c7eb8b624e950a2.jpg
Aisee kipindi hiko nilikuwa nikiwaangalia hawa mabinti nilikuwa nawaonea donge na kuwaza jinsi wakubwa wanavyofaidi.
Lakini huyu dada anajua kujitunza kiasi kwamba mtu anaweza kudhani ana miaka 29
 
Sio meneja mzuri au Kiba hamenejiki?maana Kiba soon atakuwa level moja na Harmorapa.
 
Aolewe wapi...huoni alivyo benet na kiba..mpk analazimisha kuvaa sare sare na kiba....
She is after something hapo..km hiyo somthing hajaipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Jua lishazama huyu.she in her early 40s

Ile tunda ya kati haizeeki mumy,na menopause ni kuanzia miaka 45,Acha ato.m.beshe tu maana hamna namna.

Pili kumbuka huyu mtoto ni mchaga,kishajenga kwako,kwa wazazi wake na pia kajenga Gongo la Mboto,usitegemee mchaga acheke na kima,akija mjini hata akiuza karanga ndani ya 5 years unampa saluti
 
Naomba kuuliza juu ya huyu Meneja wa msanii Ali Kiba aitwaye Seven Mosha kuhusiana na marital status yake. Sijawahi kuona Meneja wa kike anayemsimamia mwanamuziki wa kiume.
Kuwa meneja wa Ali Kiba imekuja by chance, au labda tuseme by default! Kimsingi, Seven yupo kwa ajili ya Rockstar4000 zaidi kuliko kwa ajili ya Kiba. Sasa labda ushangae mwanamke kuwa mwajiriwa wa Rockstar4000.
 
Wadau,

Naomba kuuliza juu ya huyu Meneja wa msanii Ali Kiba aitwaye Seven Mosha kuhusiana na marital status yake. Sijawahi kuona Meneja wa kike anayemsimamia mwanamuziki wa kiume.

Je, kama ameolewa au yupo na mchumba wake hiyo haileti kikwazo kwenye kumsimamia mwanamuziki wa kiume. Ieleweke kuwa Meneja wa msanii yeyote huambatana na msanii husika popote anapokwenda kikazi.

Je girlfriend/mchumba wa Ali Kiba atakuwa haoni wivu kweli.

Nauliza tu mwenye info zake
Wakishaachwa wanapiga picha uchi na kuonyesha makalio.hawa vijana wa mjini wana tabu sana.ngoja ninywe gahawa
 
Back
Top Bottom