wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
Duu watu wameanza kuliwa kitambo ,maajabu ya ile kitu ukikutana nayo utafikiria wewe ni wa piliUko sahihi mkuu hizi ni picha zake za kitambo 1999 akiwa na Irene kiwia
Ohooooo!!!Duu watu wameanza kuliwa kitambo ,maajabu ya ile kitu ukikutana nayo utafikiria wewe ni wa pili
Gabrielle Union atakuwa cousin wao
Aisee kipindi hiko nilikuwa nikiwaangalia hawa mabinti nilikuwa nawaonea donge na kuwaza jinsi wakubwa wanavyofaidi.Uko sahihi mkuu hizi ni picha zake za kitambo 1999 akiwa na Irene kiwia
Aolewe wapi...huoni alivyo benet na kiba..mpk analazimisha kuvaa sare sare na kiba....
She is after something hapo..km hiyo somthing hajaipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Jua lishazama huyu.she in her early 40s
Lemutuz.... kubwa jingahuyo dingi wa pembeni anaitwa nan?
Kuna wakati alikuwa mtangazaji pale cloudsfm kwenye kipindi cha power break fast pamoja na Jimmy Kabwe kabla ya kuwaachia kina Masudi na Fina Mango.
[emoji23] [emoji23] [emoji119]Lemutuz.... kubwa jinga
Nilikuwa sifahamu kuwa meneja wa kiba ni mwanamke kumbe ndo maana Kinukta kinapovukA kule insta.
Kuwa meneja wa Ali Kiba imekuja by chance, au labda tuseme by default! Kimsingi, Seven yupo kwa ajili ya Rockstar4000 zaidi kuliko kwa ajili ya Kiba. Sasa labda ushangae mwanamke kuwa mwajiriwa wa Rockstar4000.Naomba kuuliza juu ya huyu Meneja wa msanii Ali Kiba aitwaye Seven Mosha kuhusiana na marital status yake. Sijawahi kuona Meneja wa kike anayemsimamia mwanamuziki wa kiume.
Mkuu asante sana. Nami nakaribia kiwa Msanii wa hapa Bongo itakua vema akiwa Meneja wangu pia!
Kwenye picha ya pili namuona Mr Sugu kapiga mshati wa Le Mutuz.Uko sahihi mkuu hizi ni picha zake za kitambo 1999 akiwa na Irene kiwia
Wakishaachwa wanapiga picha uchi na kuonyesha makalio.hawa vijana wa mjini wana tabu sana.ngoja ninywe gahawaWadau,
Naomba kuuliza juu ya huyu Meneja wa msanii Ali Kiba aitwaye Seven Mosha kuhusiana na marital status yake. Sijawahi kuona Meneja wa kike anayemsimamia mwanamuziki wa kiume.
Je, kama ameolewa au yupo na mchumba wake hiyo haileti kikwazo kwenye kumsimamia mwanamuziki wa kiume. Ieleweke kuwa Meneja wa msanii yeyote huambatana na msanii husika popote anapokwenda kikazi.
Je girlfriend/mchumba wa Ali Kiba atakuwa haoni wivu kweli.
Nauliza tu mwenye info zake