Christine Seven Mosha, She manages three of Tanzania’s biggest music acts: Alikiba, Lady Jay Dee and Baraka Da Prince

Naomba kujua wasifu wa huyu Meneja wa Ali Kiba.

Amesomea nini??

Ni mwenyeji wa wapi??

Ameolewa??

Anapatikana vipi??

Nadhani ni binti mwenye vision kubwa sana kwenye career yake....

Naomba kujuzwa tafwadhali...
Huyu ndiye alieyebadilishana kipusa manyoya na Kiba kwa mkwanja mrefu (chezea mangi ww). Hadi sasa Kijana anajiita kipusa, maanake alisha.exchange.
 
Huyu ndiye alieyebadilishana kipusa manyoya na Kiba kwa mkwanja mrefu (chezea mangi ww). Hadi sasa Kijana anajiita kipusa, maanake alisha.exchange.
Huyu binti imani pia isha change ukikuta MTU anapenda namba 7 muogope sana huyo nahisi dini yake ni hii 2B1ASK1.

Sent using Iphone 7+
 
Unadhani kuna msemaji wake humu? badilisha heading umuombe namba yake ya simu! Unaweza kuwa Ebitoke wake!
 
Christine mosha alisomaga Ashira girls aligradiate mwaka 1997 alikuwa anapenda sana mziki toka shule. Nyumban kwao.ni Hapo.marangu mtoni ukiwa unapandisha ukitoka hapo kanisan kituo cha Pentecost.

Rafiki yake mkubwa alikuwa engaransia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba acha ujinga,chukua mtoto mzuri seven uweke ndani kama mondi na zari,age sio ishu,cha msingi ni potential-ability ya mtoto,si unaona toka diamond amuweke ndani zari anazidi kupaa tu
kiko wapi leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…