Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

1482332802672.jpg
1482332829142.jpg
 
Niko hapa keni mengeni mjini (Rombo) nakula kitimoto choma yangu nasalimiwa kila saa na ishirini langu lishakwenda kwa kuombwa buku na jero jero... huku kutamu jamani
 
Tangu niwepo moshi hii ni mara ya kwanza watu wa huku hawajakuja kabisaa! siyo kawaida tarehe hzi ukose foleni kiaina maeneo anzia YMCA...nakuendelea! safari hii kweli mmebanwaa!....ila mmesaidia sana maana huwa mnakuja na karibu kila kitu cha kuazima hasa magari!

1.mnanakunywa pombe sana
2.ajali haziishi
3.magari yanaibiwa sana tu
4.wake za watu wanaliwa mno
5.mkiondoka mnaacha madeni mengi mno
Sasa ni wakati wa KULA SIKUKUU BILA umati lukuki wa watu!
January Ada,madeni hatutaki!...KARIBUNI KILIMANJARO,KARIBUNI MTAKUJA Kwaajili ya "mnyama"
Karibuni Rau pub kwa mbuzi
Karibuni Mkulima kwa ng'ombe
Karibuni darslaam street kwa mbege!
Karibuni Keys hotel kwa kuku kienyeji
Karibuni Black dimond kwa burudani bila kusahau Malindi kwa vinywaji bariiidii kupoza koo na kupunguza stress! babies aina zoote!....
Mbosho ktmoto[emoji4]
 
Mkuu naskia nyie ndo wapiga dili wenyewe mwaka huu mmedhibitiwa na Kufuli hakuna kula ndafu na Kitimoto ni mwendo wa sukuma wiki tu
Ok, nyie ambao sio wapiga dili mme-gain nn baada ya sisikudhibitiwa. . ? ?
Unajua sometimes muwe mnatumia akili, Hivi ukitaka kukuza uchumi unawashusha wa juu au unawapandisha wa chini kwenda juu. . .
Sasa nyie mnaochekea wajuu kutumbuliwa jiulizeni nyie mmepata nn au ndio kwanza mnashinda njaa bora ya jana. . ?! !
 
Back
Top Bottom