Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Niko hapa keni mengeni mjini (Rombo) nakula kitimoto choma yangu nasalimiwa kila saa na ishirini langu lishakwenda kwa kuombwa buku na jero jero... huku kutamu jamani
 
Mbosho ktmoto[emoji4]
 
Mkuu naskia nyie ndo wapiga dili wenyewe mwaka huu mmedhibitiwa na Kufuli hakuna kula ndafu na Kitimoto ni mwendo wa sukuma wiki tu
Ok, nyie ambao sio wapiga dili mme-gain nn baada ya sisikudhibitiwa. . ? ?
Unajua sometimes muwe mnatumia akili, Hivi ukitaka kukuza uchumi unawashusha wa juu au unawapandisha wa chini kwenda juu. . .
Sasa nyie mnaochekea wajuu kutumbuliwa jiulizeni nyie mmepata nn au ndio kwanza mnashinda njaa bora ya jana. . ?! !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…