Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Mliopo Moshi,kuna pahala gani pazuri pa kupiga Kiti Moto na Wari?

Nakuja na ndugu zangu,maeneo ya Moshi Mjini!
Palipo Tulia!

Kwa kipanga pale majengo siku hizi pako waZi?
Kuna sehemu inaitwa TOROKA UJE mitaa ya Kiborlony
 
Mliopo Moshi,kuna pahala gani pazuri pa kupiga Kiti Moto na Wari?

Nakuja na ndugu zangu,maeneo ya Moshi Mjini!
Palipo Tulia!

Kwa kipanga pale majengo siku hizi pako waZi?
Nenda Kenyatta Street kuna Bar inaitwa Mbosho...kitimoto safi kabisa. Ya kuchoma na ya roast. Thank me later
 
mwaka huu pamoja na hali ngumu kila mmoja lazima aende, ili ieleweke kwamba wachagga huwa hawapigi dill mjini bali wanatafuta pesa kwa uhalali na wanaipata. sasa kila mwenye kidogo lazima atinge Moshi kuonesha kwamba "hajatumbuliwa" na hawatubuliki kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…