Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Yeah Platozoom 200%, ndo maana nikauliza hayo ya mbege cos sielewi.
Halafu acha kupotea. 🙂

Sijapotea, nilikuwa namfanyia counselling Hillary!! Ilikuwa kazi kubwa.
Kesho nampelekea michembe kutoka Busega!!
 
Reactions: kui
aikambe, yethuuu, hiyo hela ya kupoteza mgombani si afadhali mngeenda kufufua bank yenu ya wachaga aka cr..b aisee maana inakufa atii ilikuwa inategemea mihela ya serikali atiii

Wivu wa kike (kwa sauti ya JK)
 
Hahah!, sawa bwana, naona ulikuwa unamuandaa kisaikolojia kwa miaka mingine minne ya Trump.

Nina imani umeshapona "after shock"
Krismasi karibu Kuku wa kienyeji na ugali wa dona.

Mpishi geniveros................wife material
 
Reactions: kui
Ibada ya usiku ya Xmas naenda hapo Usharika wa Ngaruma na misa ya Kichagga ya Saa moja lazima niudhurie pia..

Inaleta raha pale mnatoka ibada ya mkesha mkirudi home mnakuta mbege imeshachanganywa inapumua tartiiib...
 
Kumbe mchaga wewe!!! Id yako tofauti kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…