Shughulisha akili yako. Acha kutoa arguments za kizembe. Ukweli ni kama alivyosema mleta mada.Hizo ni hadith tu nyie hakuna ukweli wowote.
Jielimishe uache kutoa kauli za kizembe sababu ya ujinga.Hizo ni hadith tu nyie hakuna ukweli wowote.
Gakabla ya uvamizi nchi ya Syria kama zilivyokuwa nchi nyingi za kiislamu leo hii kama vile Iraki, Uturuki na nyinginezo zilikuwa Christian majority societies, kila kitu kilibadilika baada ya Uislamu kuingia, Syria na mji wake wa Damascus hata umetajwa kwenye Biblia.
leo hii Damascus inasherehekea siku ya kuzaliwa Mwokozi aliyefia msalabani ili tukombolewe, na umeme unawaka ingawaje nchi ipo vitani na hata kuna jangwa …
View attachment 2848778
View attachment 2848779
View attachment 2848780
View: https://m.youtube.com/watch?v=Lsxa8HGCPCQ&embeds_referring_euri=https%3A%2F%2Fexxpress.at%2F&source_ve_path=Mjg2NjY&feature=emb_logo
Alafu wazungu wamejipendelea sana katika hadith zao, alafu wakatubagua sisi, waafrika katika hadith zao, alafu na sisi, waafrika tukashindwa kujitambua, maskini na huwezi kukuta mzungu anaiga kitu kutoka afrika. AMKA AFRIKA LEO.