Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
kabla ya uvamizi nchi ya Syria kama zilivyokuwa nchi nyingi za kiislamu leo hii kama vile Iraki, Uturuki na nyinginezo zilikuwa Christian majority societies, kila kitu kilibadilika baada ya Uislamu kuingia, Syria na mji wake wa Damascus hata umetajwa kwenye Biblia.
leo hii Damascus inasherehekea siku ya kuzaliwa Mwokozi aliyefia msalabani ili tukombolewe, na umeme unawaka ingawaje nchi ipo vitani na hata kuna jangwa …
View: https://m.youtube.com/watch?v=Lsxa8HGCPCQ&embeds_referring_euri=https%3A%2F%2Fexxpress.at%2F&source_ve_path=Mjg2NjY&feature=emb_logo