Christmas πŸŽ„ Love πŸ’–Byte πŸ’‹

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Habariza kuamka,

Natumai nyote hamjambo, ule msimu wa maraha umewadia.

Kasie Mahaba nalipelekesha gurudumu la Mahaba mpaka mahaba yaseme imetosha.

Niko zangu kwenye kochi nimevaa kiblauzi bila sidiria na kikaptula matirio ya T-shirt, nimejikunyata joto kali kiasi upepo mtulivu kwa mbali hewa safii nasoma makala flani hivii.

Kumbe bana, macho yangu yanarembua vile nasoma ila mie sijajua kama narembua. Basi mtu huyoo akatoka kaenda jikoni karudi amekaa pembeni yangu na kibakuli chenye matunda ya mahaba πŸ˜‹πŸ˜‹

Nilijikuta makala naiweka pembeni nikawa Kama kinda la ndege, nalishwa matunda yale huku naramba kila kidole kilochosindikiza tunda.



Kiwi πŸ₯ cherry πŸ’ and strawberry πŸ“ πŸ˜‹.



Nilibeta kijiko cha Masega ya asali yakanimwagikia mwilini, ndo yalichangia love byte...😜

Baada ya kibakuli kuisha nilitafunwaje aka fundi wa Love Byte tatoo haioni ndani.

Acha tukaoge tulale, tukiamka ntaendelea kusoma makala yangu hadi iishe ndo ntakubali kulishwa matunda.

Kasie Platinumz Matata.
 
I love you
 
Love is the beautiful thing. 🌷

Wale team kapicha, nimesindikiza na kapicha ka love bites. Msije dhani ni vidonda πŸ˜…πŸ˜… KENZY achelewi kuhisi ni kidonda.View attachment 1648798

Aaahahahahahaaahahahaa asante kwa taswira, sasa baada ya tukio nikalalama ona umeniwekea alama. Akasema poleee, ngoja nikupake asali patarejea kwenye hali yake muda si mrefu weeeh...

Nikakumbuka chanzo cha yote hayo asali ilinimwagikia mwilini, sasa hii ya kupakwa najitafutia la kutafutika aahahahahaa.

Huyo kibogoyo kiberenge mambo haya hayajui, atasema huo ni ugonjwa wa ngozi.
 
Sipati picha hicho kikaptura,mguu upo lakini

Yaani picha imeungua ni giza tupu, miguu ilikuwa inachunga ng’ombe imebaki milonjo tuuπŸ˜…πŸ˜…
 
Kasie na mahaba, mahaba na kasie huwezi watenganisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…