Christmas Njema wanaJF Wote...

Ahsante sana mkuu . Tupo pamoja na kwako pia.
 
Xmas njema, ila naomba kama kuna mtu anafahamu anijuze! Mpaka siku za mwisho Yesu alipopaa mbinguni (inasemekana) alipaa akiwa Kama Mkistu mkatoliki? Na alienda kutuandalia makao kwa wote au kwa baadhi ya mathehebu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…