Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa usawa upi mkuu?Pilau wapi?
Hahaaa mkuu ni mwendo wa matembele kwa kwenda mbeleDuh...!
Vp leo unaenda misele na gar la aina ganDuh...!
Cheers, the same mkuu..Nawatakiwa Christmas njema wana JF wote. Tutumie muda huu kusameheana pale tulipokoseana. Mungu awabariki. Ameni.
Mimi niko huku simiyu kijiji kimoja kimaitwa gambosh ndo nimekuja kula sikukuuNatafuta pa kudoea hapa....
Xmas njema, ila naomba kama kuna mtu anafahamu anijuze! Mpaka siku za mwisho Yesu alipopaa mbinguni (inasemekana) alipaa akiwa Kama Mkistu mkatoliki? Na alienda kutuandalia makao kwa wote au kwa baadhi ya mathehebu?
Na kwako piaa
Ahsante sana Mkuu
Wakuu hamna mwaliko?Cheers, the same mkuu..