Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

Nilishajenga lakini naenda mra tatu mpaka nne kwa mwaka. Sasa wachagga mara moja tu kwa mwaka sasa hiyo ni akili au matope ?
Aliyekudanganya ni nani kwamba tunaenda mara moja? Na unampangia mtu mara za kwenda kwake? Ni lazima kwenda kila siku? Nikuambie tu kwamba?? Tunaenda kwa sababu maalumu. December ndo finale. Aliyejenga wala haongei kwa uoga hivi
 
Wachukuru watalii na huo mlima vinginevyo KLM ingekuwa kigoma Tu.

Hiv bk kuna nini mpaka abiria wawe wengi hivi.
Jibu ni kwamba kuna wahayaView attachment 1660468

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Hahahaha unachekesha boss,hujui kuwa ndege za kwenda Kilimanjaro za watalii Ni 30% na 70% Ni civil aviations? Nenda pale Kia uone Kama watalii Ni wengi au la,watalii wengi wanakodi private jet, Kilimanjaro Wana ubunifu mwingi ndio maana Ni mkoa mdogo lakini unaizd kagera kubwa kwa kila kitu
 
Nani kakudanganya ni lini uliwaona kabila kuu wakienda kuomba msaada Kilimanjaro ? Badala yake wachagga ndo kila siku kuja kanda kuu kutafuta maisha na mabinti wa kichagga kufanya kila njia ili waolewe na kabila kuu. Usicheze na Sukumaland wewe.
We nawe umetikea wapi[emoji23][emoji23][emoji23] mbona kolabo sasa. Unahusikaje mkuu? Tulia bwana. Nyie vibarua bora sana kwenye mashamba. Mnapiga jembe kama hamna akili nzuri
 
Ndondi zimehama kutoka chagga vs haya ,zimehamia kwa Chagga vs msukuma.?mwaka huu kazi tunayo Watanzania
 
Labda tu niwele in simple way. Mchaga yuko kila mahali. Na napenda ethic yao ya upambanaji. Wazungu wanasema kama fursa haitokei.. tengeneza hiyo fursa.
Ndio maana wamesambaa kila mahali kusaka mapene.. si watu wavivu. Ndio maana wamesambaa

Kuhusu wanawake wa kichaga kutaka kuolewa na wasukuma that is false. Hakuna data or statistics inayo support allegation zako.
 
Ndondi zimehama kutoka chagga vs haya ,zimehamia kwa Chagga vs msukuma.?mwaka huu kazi tunayo Watanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui kaibukia wapi
 
Shangaa wewe... siye twawezana wenyewe kwa wenyewe
 
Bukoba Hali ipoje?
 
Nani kakudanganya ni lini uliwaona kabila kuu wakienda kuomba msaada Kilimanjaro ? Badala yake wachagga ndo kila siku kuja kanda kuu kutafuta maisha na mabinti wa kichagga kufanya kila njia ili waolewe na kabila kuu. Usicheze na Sukumaland wewe.
Hahaha et sukumaland,Sisi wachaga tumewekeza Tanzania nzima,sio tu tz hata duniani hatujafungia akili zetu kwenye kibuyu kama nyie wachunga mbuzi ndio maana mnakuwa washamba kwasababu hamtembei
Kilimanjaro Ni mkoa wa pili tz kuwa na maisha bora sukumaland yako ndio ngome ya mikoa maskini
 
Sasa hivivtunajenga kuliko hao wa Kilimanjaro
Haiwez tokea kamwe kwenu huko sukumaland kiwango Cha umaskini kipo juu Sana,sis tunajenga tangu kabla hata ya Uhuru
Hebu Soma hii ripoti pendwa ya serikali
 
We nawe umetikea wapi[emoji23][emoji23][emoji23] mbona kolabo sasa. Unahusikaje mkuu? Tulia bwana. Nyie vibarua bora sana kwenye mashamba. Mnapiga jembe kama hamna akili nzuri
Hahahaha nimecheka Hadi nimemwaga bia yangu[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nimetembea Kilimanjaro yote sikuona jipya kuanzia Machame, Masama, Kibosho, Uru, Marangu, Rombo, Mwanga na Same kote huko sikuona jambo la ajabu ambalo kwetu halipo. Mtu unamkuta huko Kilimanjaro anamiliki robo eka ya mchaimchai eti naye anajiita tajiri ! Migomba yenyewe huko Machame mashina kama paja la mbuzi ! Ni shida kwa kwenda mbele ! Mnakuja kudanganya eti Kilimanjaro matajiri, kwa lipi hasa ! Huko Kishimundu ndio wamejaa mazezeta kwa ulevi. Poleni sana kwa majigambo hamjambo.
Aliyekudanganya ni nani kwamba tunaenda mara moja? Na unampangia mtu mara za kwenda kwake? Ni lazima kwenda kila siku? Nikuambie tu kwamba?? Tunaenda kwa sababu maalumu. December ndo finale. Aliyejenga wala haongei kwa uoga hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…