luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Vp ngosha nakusalimia tuNani kakudanganya ni lini uliwaona kabila kuu wakienda kuomba msaada Kilimanjaro ? Badala yake wachagga ndo kila siku kuja kanda kuu kutafuta maisha na mabinti wa kichagga kufanya kila njia ili waolewe na kabila kuu. Usicheze na Sukumaland wewe.