Christopher Andendekisye: Utafiti unaonesha wanafunzi wanaporudi nyumbani wanakuwa wamechoka, hawawezi kujisomea

Christopher Andendekisye: Utafiti unaonesha wanafunzi wanaporudi nyumbani wanakuwa wamechoka, hawawezi kujisomea

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Christopher Andendekisye, Mkurugenzi mtendaji wa Mwanafunzi Clinic na mdau wa elimu anatupitisha kwenye utafiti kuhusiana na uchovu wanaopata watoto kwa kubeba vitabu na daftari nyingi na kuathirika kimasomo.

 
Huyu jamaa aligombeaga Urais DARUSO 2004. Full chase. Hata kunieleza ilikua mtihani.
 
Huo utafiti ulishafanyika ndio maana wakaweka mapumziko kadha ndani ya miezi 12.
Kikubwa Wazazi na shule zizingatie watoto kupumzika wakati wa likizo.
Kuwepo na refresher za aina mbalimbali watoto wapate nafasi ya kukuza vipaji vyao kuliko kuwasongamanisha na masomo ya ziada wakati wa likizo
 
Huyo mtoto akifika home amuulize tena mzee wake au mama yake uchovu wake upo kiasi gani kwa kutafuta shilingi ambayo imekuwa na mbio kuzidi Hussein Bolt on Steroids;

Na akiona mzee huyo anacheka atambue kwamba huenda mzee huyu alikuwa akifuka home kwanza anakwenda kuchanja kuni alafu anapitia kuchota maji kabla ya kurudi kusomea koroboi...

Point iwe kama masomo / mavitabu ni makubwa na hayana tija ila sio kuleta story za mtu mzima kushindwa kubeba begi la vitabu (kama vipi shule ziwatengenezee malocker) by the way in this day an age kushindwa kuelewa masomo (information at your fingertips ni uamuzi tu) everything is simplified
 
Back
Top Bottom