Huyo mtoto akifika home amuulize tena mzee wake au mama yake uchovu wake upo kiasi gani kwa kutafuta shilingi ambayo imekuwa na mbio kuzidi Hussein Bolt on Steroids;
Na akiona mzee huyo anacheka atambue kwamba huenda mzee huyu alikuwa akifuka home kwanza anakwenda kuchanja kuni alafu anapitia kuchota maji kabla ya kurudi kusomea koroboi...
Point iwe kama masomo / mavitabu ni makubwa na hayana tija ila sio kuleta story za mtu mzima kushindwa kubeba begi la vitabu (kama vipi shule ziwatengenezee malocker) by the way in this day an age kushindwa kuelewa masomo (information at your fingertips ni uamuzi tu) everything is simplified