Christopher Martin msanii wa dancehall mbabe wa ngoma kali

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Huyu jamaa anaeitwa Christopher Martin msanii wa dancehall pamoja raggae kutoka Jamaica hana mshindani
Huyu janja ana mikwaju ya moto sana since way back, mikwaju yake Kama:-i, Cheaters prayer
ii, Let her go
iii, Mama
iv, Paper loving
v, I'm a big deal
vi, Is it love
vii, Prayer
viii, Mi friend dem
Mikwaju gani unaikubali kutoka kwa huyu mwamba ? je, kuna msanii wa Jamaica anafikia uwezo wa huyu mwamba ?
 
Jamaa mkali sana ila mimi namkubali zaidi wayne wonder na ngoma yake ya no letting go na anything goes.
Ngoma ya christopher martin napenda zaidi paper loving
 
Siku hizi anafahamika sana kama Coldplay
- Viva la vida
 
Jamaa mkali sana ila mimi namkubali zaidi wayne wonder na ngoma yake ya no letting go na anything goes.
Ngoma ya christopher martin napenda zaidi paper loving
Huo mkwaju makhususi kwa magold digger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…