Christopher Martin msanii wa dancehall mbabe wa ngoma kali

Christopher Martin msanii wa dancehall mbabe wa ngoma kali

Huyu jamaa anaeitwa Christopher Martin msanii wa dancehall pamoja raggae kutoka Jamaica hana mshindaniView attachment 2704033
Huyu janja ana mikwaju ya moto sana since way back, mikwaju yake Kama:-i, Cheaters prayer
ii, Let her go
iii, Mama
iv, Paper loving
v, I'm a big deal
vi, Is it love
vii, Prayer
viii, Mi friend dem
Mikwaju gani unaikubali kutoka kwa huyu mwamba ? je, kuna msanii wa Jamaica anafikia uwezo wa huyu mwamba ?
Anajitahidi sana ila kuna wakali kuliko yeye,romain virgo,ioctane,movado,etana,busy signal na wengineo
 
Back
Top Bottom