mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Too young to be my lover
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajitahidi sana ila kuna wakali kuliko yeye,romain virgo,ioctane,movado,etana,busy signal na wengineoHuyu jamaa anaeitwa Christopher Martin msanii wa dancehall pamoja raggae kutoka Jamaica hana mshindaniView attachment 2704033
Huyu janja ana mikwaju ya moto sana since way back, mikwaju yake Kama:-i, Cheaters prayer
ii, Let her go
iii, Mama
iv, Paper loving
v, I'm a big deal
vi, Is it love
vii, Prayer
viii, Mi friend dem
Mikwaju gani unaikubali kutoka kwa huyu mwamba ? je, kuna msanii wa Jamaica anafikia uwezo wa huyu mwamba ?