Sonara
JF-Expert Member
- Oct 2, 2008
- 726
- 70
Nimechoka kustahamili na kauli zako Christopher ole -Sendeka na kikundi chako chenye mtizamo kama wako hivi karibuni uli tamka na kusema Zanzibari ni lazima tu wa Restrain pamoja na huo Uisilamu wao ,nimeleta hii hoja kuwaonesha jinsi ulivyokuwa kinyonga juzi hapa ndani ya Bunge lakatiba wakati wa kutowa hoja juu ya nyaraka ukajitia kufoka eti waraka wa Mungano usifike pale ,kwa maaana hiyo unaelewa fika raja nini kilichomo ndani yake na itakapofika mahali wawakilishi kutoka Zanzibar wakauona unahisi ndoto yako itashindikana ile ya Restrain wazanzibari na Uisilamu wao na mengineyo