Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
zenj wanaweza kuwa huru ktk serikali mbili na wasiwe huru ktk 3,kwani vyovyote vile serikali yao wanayo...Zanzibar huu ni wakati wenu wa kuwa huru. Hata hivyo wale waheshimiwa wanaopata ujiko kupitia uteuzi wa dodoma wanahofu watakosa chakula kama mtakuwa huru