NITIKE NDOSI
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 153
- 86
Habari wakuu kwanza niwashukuru kwa kazi kubwa mnayofanya kusaidia wenye uhitaji kwa kuwapa ushauri wa kitabibu shida yangu kwa leo ni kwamba nina mdogo wangu anasumbuliwa na tatizo ambalo kwa kitaalamu linaitwa clonic osteomyelitis.
Alianza sumbuliwa na hili tatizo alipokuwa mdogo i.e miaka 14 kwenye joint ya mguu[famour joint] alikaa na maumivu mda mrefu bila kujua tatizo baada ya kuenda hospitali kubwa ndipo tatizo hilo liligundulika na kufanyiwa upasuaji.
Hilo tatizo lilikoma kwenye mguu,lkn baada ya kukaa muda mrefu akaanza kusikia maumivu bega la kulia,baada ya kwenda hospitalini akagundulika kuwa na jipu ambapo alifanyiwa upasuaji na kupona.Maumivu yalimrudia tena,lkn alipoenda hospitalini ikagundulika ni Osteomyelitis tena kwenye mkono! Alipewa dawa ambayo ilimsaidia inaitwa NEUROTON.
Ni muda wa mwezi mmoja sasa anaumwa bega tena maumivu makali hasa nyakati za usiku.Alipoenda hospitalini walimpa neuroton tena lkn awamu hii imeprove failure
Plz wakuu naomba mwenye kujua suluhu la hili tatizo atusaidie ahsanteni sana! Natanguliza samahani km kuna terminology nimeiandika ndivyo sivyo,maana mm sio mtaalamu
thanks!!