Chronic osteomyelitis

Chronic osteomyelitis

NITIKE NDOSI

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
153
Reaction score
86
Habari wakuu kwanza niwashukuru kwa kazi kubwa mnayofanya kusaidia wenye uhitaji kwa kuwapa ushauri wa kitabibu shida yangu kwa leo ni kwamba nina mdogo wangu anasumbuliwa na tatizo ambalo kwa kitaalamu linaitwa clonic osteomyelitis.

Alianza sumbuliwa na hili tatizo alipokuwa mdogo i.e miaka 14 kwenye joint ya mguu[famour joint] alikaa na maumivu mda mrefu bila kujua tatizo baada ya kuenda hospitali kubwa ndipo tatizo hilo liligundulika na kufanyiwa upasuaji.

Hilo tatizo lilikoma kwenye mguu,lkn baada ya kukaa muda mrefu akaanza kusikia maumivu bega la kulia,baada ya kwenda hospitalini akagundulika kuwa na jipu ambapo alifanyiwa upasuaji na kupona.Maumivu yalimrudia tena,lkn alipoenda hospitalini ikagundulika ni Osteomyelitis tena kwenye mkono! Alipewa dawa ambayo ilimsaidia inaitwa NEUROTON.

Ni muda wa mwezi mmoja sasa anaumwa bega tena maumivu makali hasa nyakati za usiku.Alipoenda hospitalini walimpa neuroton tena lkn awamu hii imeprove failure

Plz wakuu naomba mwenye kujua suluhu la hili tatizo atusaidie ahsanteni sana! Natanguliza samahani km kuna terminology nimeiandika ndivyo sivyo,maana mm sio mtaalamu
thanks!!
 
Osteomyelitis inflamation of the bone ugonjwa huu husababishwa mara nying na infection hasa haswa za bacteria kama staphyloccocus Aures, stap spcies zingne... pia kuna vitu kama TB nazo hu athiri mifupa kwa style kama hiyo.

kipi chakufanya: kama ana sumbuliwa na hiyo osteomyelitis unabidi afanyiwe
bone marrow aspiration hii si spacemen inayo tolewa kama histological specimen naku fanyiwa vipimo kama gram stain & culture.

Osteomyelitis ina tibika uki wahi kama ni bacteria infection, ila hakikisha kwanza ume pima bone marrow ili kujua ni aina gani ya microganism wana sumbua. Kwan kuendelea acha ilo tatizo yaweza sababisha ata mgonjwa kupata Anemia( mapungufu ya damu) kwan uroto ni moja kati ya sehemu muhimu za uzalishaji wa damu. Ivyo iki hathiriwa napo huleta shida.

NOTE: bone marrow aspiration ni moja kati ya specimen collection inayo uma kuliko zote hospitalini.
 
Ahsante sana kiongozi KWA USHAURI WA KITAALAMU
Km unaweza kunisaidia kujua hospitali yenye vipimo hivyo i.e zenye wataamu wa mifupa na inayopokea card ya bima AAR please!!
 
Ahsante sana kiongozi KWA USHAURI WA KITAALAMU
Km unaweza kunisaidia kujua hospitali yenye vipimo hivyo i.e zenye wataamu wa mifupa na inayopokea card ya bima AAR please!!
Sjui sana juu ya bima ya AAR ila LANCERT hawa jamaa maabara yao iko fresh sana wata kufanyia diagnosis vizur. Na iki washnda huwa wana tuma sampo kwa madiba. Kwa pesa ile ile.
 
Back
Top Bottom