Alex Tanzania
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 782
- 646
Habari wana JF,
Nasumbuliwa na hilo tatizo kwenye mfupa wa paja (femur) kwa miaka 15 sasa na mara zote nikienda hospital baada ya vipimo napewa antibiotics tu ambazo kwa kiasi fulani zimekuwa zikinisaidia lakini bila tatizo kuisha miaka ya 2003 mpk 2012 nimekuwa nikipewa Cloxacilin hii ni baada ya sindano za powercef lakini 2012 mpaka sasa kuna daktari alinishauri nitumie Clindamycin ambayo kwa kweli imekuwa ikinisaidia sana kwa kuhairisha tatizo kwa muda mrefu (seize) lakini baadaye hujirudia.
Msaada wenu kwangu ni kwamba kama kuna mtu anafahamu dawa inayotibu hilo tatizo naomba anifahamishe iwe ya kisasa au kienyeji (yoyote ile mi nahitaji kupona) maana washanipasua sana huu mguu kwa dhumuni la kusafisha mfupa na nishatembea hospital kubwa kadhaa lakini bila mafanikio makubwa muda wote nimekuwa nikisoma kwa kuwaza kupona hili tatizo na sasa nafanya kazi tatizo liko pale pale hivi sasa linaanza linahamia sehemu nyingine ya huu huu mguu na ni maumivu kwa kweli.
NB: Watu wa imani mbali mbali naomba mniombee nipate kupona.
Mungu awabariki.
Amen