Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,075
- 1,466
Usijinenepeshe aisee unaeza kuta unajaa tumbo badala ya mbwata... [emoji4]Kumbe.. Basi ngoja nibaki hivo hivo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijinenepeshe aisee unaeza kuta unajaa tumbo badala ya mbwata... [emoji4]Kumbe.. Basi ngoja nibaki hivo hivo.
Nadhani booster. Hata bure na hela juu. NEVER EVERHivi alikunywa vidonge au walimfanyia opersheni
Dizaini ipi rafiki yanguBinafsi napenda vibonge wa dizaini hii
Vikwazo huwa mnavipataje ?Sema shida ya vibonge ni kwamba "KUUONA UFALME " ni kazi kwel kwel. KUUINGIA UFALME lazima upambane haswa..vikwazo kibao.
Nb.
Sio wote.
Hahahaha, Rafiki dizaini hapo juuDizaini ipi rafiki yangu
Sasa huwezi amini hizo picha kwangu hazijafuka kabisaHahahaha, Rafiki dizaini hapo juu
Hahahaha, kweli Rafiki ?Sasa huwezi amini hizo picha kwangu hazijafuka kabisa
Kweli kabisa rafiki yangu.hebu niwekee hapa dizaini zako nizione nijue nakushauri vipi katika swala zima la pumzi😆😆😆Hahahaha, kweli Rafiki ?
Hahahaha, Rafiki pumzi ninazo za kutosha mpk zingine naweza mpa MTU, panda juu utaona pichaKweli kabisa rafiki yangu.hebu niwekee hapa dizaini zako nizione nijue nakushauri vipi katika swala zima la pumzi[emoji38][emoji38][emoji38]
Weee usiniambie...aiseh kumbe!safi!!Hahahaha, Rafiki pumzi ninazo za kutosha mpk zingine naweza mpa MTU, panda juu utaona picha
Hujaona picha?Weee usiniambie...aiseh kumbe!safi!!
Nimepanda juu sijaona jamani
Sijaiona rafiki yangu.hebu niambie iko page ya ngapiHujaona picha?
Ya kwanza attachment ya Uzi ,anza mwanzoSijaiona rafiki yangu.hebu niambie iko page ya ngapi
Cc@ChakoriiClearly you dont have to be skinny to be beautiful. thick girls from all over are showing everyone how good they look.
![]()
So many beautiful women on social media shown us what it's like to be chubby and fabulous
![]()
What is attractive to one man is clearly not attractive to others. Thick women have a very beautiful baby face and look younger
![]()
There's also a misconception that thick women are not healthy, no hate against skinny women but thick women also take care of themselves just because somebody is skinny it could just be genes at it would have nothing to do with what they eat.
![]()
Big women who know how to dress and wear clothes that fit them are the most attractive and many men really just prefer thicker women to a skinnier one. There is nothing more attractive than a big girl who can take care of themselves.
In fact all women should just be proud of how they look, and how they feel, and how beautiful they are. It doesn't matter what race you are , what skin tone you are, how skinny you are, or how chubby you are. All women should just know that they are beautiful and embraced themselves for who they truly are.
Hazifunguki kwenye simu yangu..Ya kwanza attachment ya Uzi ,anza mwanzo
Asante baba.lakini kwangu hazifunguki.kweli kabisaCc@Chakorii
Doh poleAsante baba.lakini kwangu hazifunguki.kweli kabisa
HahahahaHazifunguki kwenye simu yangu..
Hiki kimeo kinanitesa
😢Asante.😁😁Doh pole
Hahahaha,sorry[emoji22]Asante.[emoji16][emoji16]