High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
sijakuelewa chuchu unazozungumzia ni zile za kunyweshea watoto maziwa au?
ninamaana kuna vidude kama chuchu za kunyonyeshea mtoto akiwa mdogo au maana nyingine vikombe vya kuwapea watoto maziwaMleta uzi rudi kwa ufafanuzi chuchu bandia una maana ni vile vikombe kwaajili ya kuwapea watoto maziwa?
Mama kawekewa hizo chuchu bandia.