Chuchu bandia

Chuchu bandia

High Vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,915
Reaction score
2,134
hebu mwenye uelewa na madhara ya kutumia chuchu bandia kwa watoto atupie hapa
 
sijakuelewa chuchu unazozungumzia ni zile za kunyweshea watoto maziwa au?
 
Mleta uzi rudi kwa ufafanuzi chuchu bandia una maana ni vile vikombe kwaajili ya kuwapea watoto maziwa?

Mama kawekewa hizo chuchu bandia.
 
oooh nina uelewa mduchu ya kwamba unamletea mtoto gesi kwani huvuta hewa muda mrefu kitu ambacho si kizuri kwa umri wake
 
Mleta uzi rudi kwa ufafanuzi chuchu bandia una maana ni vile vikombe kwaajili ya kuwapea watoto maziwa?

Mama kawekewa hizo chuchu bandia.
ninamaana kuna vidude kama chuchu za kunyonyeshea mtoto akiwa mdogo au maana nyingine vikombe vya kuwapea watoto maziwa
 
Usafi wake ni mgumu sana haswa kwenye kitundu cha kutolea maziwa, yaya na akina mama wengi hawana uelewa mzuri jinsi ya kusafisha, kila siku utaishia hospitali mtoto akiharisha, unashauriwa kutumia vikombe vya watoto vyenye mdomo mkubwa.
 
Back
Top Bottom