Chuchu Hans Afunguka kuachana na Ray


ahaaa aaa imekula kwake, akaroge vzur ajengewe nyumba na kununuliwa gari ndoa awaachie wenyew tu
 
ndo hvyo na mwenyewe akasema ndoa itafungwa tz na huko mamtoni sasa leo ray wa nini?

mmh hayo siyajui..mimi nilikuwa namshangaa sana chuchu, ray anasema hayupo na johari wakat huo huo bado wanafanya kazi na johar na ni ma partner chuchu nae hakufikiria kuwa ni vigumu apo au anachezewa akili zake? maana kila siku lazima ray na johar waonane kikazi na mpaka leo wale ni ma partner , yeye kaachwa johar bado yupo na ray kikazi na hakyamungu wanarudiana wale.
 
wanapendezeana johari na ray, chuchu jambazi yule akalee ndoa yake iliyomshinda, kama mume alimshindwa hawara atamuwezea wapi? yani kimekuwa kipole wakat kilikuwa kutwa kinajipendekeza kwa ray

hamna ht kupendezana johari mbibi sana kwa ray
lloooh mkorogo ule aupeleke wapi ray
 
bora chuchu kaonja pepo haya huyo chagula ht uchunha hajapata na ana stress kweli
nifa serious ktk dunia hii omba MUNGU usimose vyote mtoto na ndoa

loh.. chuchu sijui atapeleka wapi uso wake maana alivyojishaua kuwa ataolewa, sitaki mie nacheka apa sina mbavu khaa nyie ray huyu kiboko asehh kamuacha mwenzie kwenye mataa ya ubungo loh analo hlo, kwanza jitu lenyewe limezaa ray hataki mizigo apelek uko mtoto wake na yeye ajibebe
 

hivi binamu ray unafkiri anampenda chagulaga???!!!!!
big nooo anamtumia kimaslahi tuu yani johari kwa ray namfananisha na NDALA AU CHUMVI zina umuhimu ila havthaminiki ndo johari sasa kwa ray maana kigosi anawaza kugawana kampuni but in reality mkubali mkatae chagulaga nyamsura hapendwiii
 
Bora chuchu alivyoachwa maskini na kodi ray kakataa kumlipia sina uhakika kama kweli umbea huo niloiona kwenye fun page ya johari
 
asa johari na chuchu nani mzuri labda..?$!
kwa ule mdomo km bakuli la matonya na unene usio na shepu au ule mkorogo km papai eti?

johari mzuri wewe , chuchu ana sura nyembamba kama ruler, miguu imemkomaa kama fito za genge, nyuma sasa kama pasi ya mkaa yani rangi imemsitir sana yule kinyago cha mpapure
 

Ndo wapo wote sasa mwaka wa tisa huu , muwaache tu ndo maana johar alishawahi kusema kabisa kuwa ray hawezi kudumu na chuchu anamjua vizur ray na ataudi tu kwake wala hana papara naye, yani dah na leo kweli kaachwa ndio maana johari alikuwa anamuangalia tu chuchu za mbwa alivyokuwa akijishaua mpk kimeachwa sijui kinaonaje aibu sasa
 
johari mzuri wewe , chuchu ana sura nyembamba kama ruler, miguu imemkomaa kama fito za genge, nyuma sasa kama pasi ya mkaa yani rangi imemsitir sana yule kinyago cha mpapure

nakujua we ukimchukia mtu unavyompondaga ila kiukweli johari hana uzuri wowote wa sifa kaja mjini hapa mshamba mshamba kaiba iba ela za watu leo anajifanya mjanja
mi simchukii johari kiukweli ila ile johari ni laana ya macdonad utasubiri sana ndoa na ray
 
Mainda aongeze kasi ya maombi limbwata lichujeee....

hv unajua umenichekesha sanaaa....!!
mainda nae anatafta mlokole mwenzie atoe gundu
kidogo maana kwa ray imekula kwao wotee
 

hamna kitu pale ht km huyo johari dhaifu sio kihvyo kwa ray
kingine ukipata tumia ukikosa jutia chuchu mlitaka afanyeje labda kipindi yukovna ray
johari anajua hapendwii ndo maana yupo kimyaa ht akiwa na ray anajijua ye screpa tu huo ndo ukweli
 
yaani binamu badala ya kumshauri chagulaga azinduke usingizini aache kufanywa skrepa we unampa moyo anapendwa daah
too bad...!!!mana huyo chagulaga miss bugoyi kusoma hajui hata picha haoni llllooohhh!!!$
 
Huyu mvulana c mwanaume hivi wewe nifah toka lini m2 anajichubua ukamwita w mwanaume,huyo ana harufu y kivulana tena kwa mbali.bongo movie wanaume n wanawake huwezi kuwajua bila kutizama kwa umakini

Hakyanan umenichekesha eti wanawake na wanaume hawana tofauti
 
aahahaa...mainda yupo busy na kanisa hatak bwana, chezeya virus vya kifua kikuu weye

Halafu wanavyopangana na kupokezana vijiti wala hawaogopi....au wanaigizaa? Hawakulani kweli,,,!!!!?…

Hivi unakumbuka ugonjwa uliomuu Max....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…