warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
Binamu au limbwata limechujaaa? Manake nasikia vikao vya harusi vilishaanza, mwanaume akawa hajielewi kama kachanganyikiwa Mara aseme anaoa yeye, Mara anaoa ndugu yake...hajielewi...
Nina wasiwasi bibie kakosea masharti, dawa ya kwenye maji ya kuoga kaiweka kwenye chakula...chezea mapenzi ya dawa....
ahaaa aaa imekula kwake, akaroge vzur ajengewe nyumba na kununuliwa gari ndoa awaachie wenyew tu