Chuchu Hans Afunguka kuachana na Ray

Chuchu Hans Afunguka kuachana na Ray

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa Filamu Bongo , Chuchu Hans juzikati alifungukia madai ya kwamba ameachana na mchumba wake Vicent Kigosi ' Ray ' , akaeleza kuwa , hakuna ukweli wowote juu ya hilo. Chuchu alifikia uamuzi wa kufafanua juu ya madai hayo juzi kufuatia tetesi zilizokuwa zimeenea kwamba yeye na kipenzi chake huyo wametibuana na sasa kila mtu kimpango wake . Staa wa Filamu Bongo , Chuchu Hans akiwa na mpenzi wake ' Ray'' .

Akifungukia juu ya uvumi huo Chuchu alisema : "Kutakuwa na watu wanaosambaza uongo huo, huwezi kuamini muda si mrefu nilikuwa na baby wangu Ray , tukawa tunashangaa tu juu ya umbeya huo. "Nahisi watu wamechukulia kwamba tumeachana baada ya mimi kuamua kubadilisha jina nililokuwa nikilitumia kwenye akaunti yangu ya kwanza ya Instagram , nimetoa neno The Greatest na kubakiza jina langu, ilikuwa ni uamuzi tu .

"Siwezi kuachana na Ray na hata kama ikitokea tumeachana naamini kabisa Ray hawezi kurudiana na Johari wala Mainda, hao wanaosema eti kaniacha mimi karudiana na Johari wanachemka, " alisema Chuchu .
 
Attachments

  • 1421575884125.jpg
    1421575884125.jpg
    42.6 KB · Views: 2,793
mmh!! bora umeachwa maana ulikuwa unajishaua na huyo ray wako mpaka umeachwa pambafuu..
 
Huyo chuchu mpuuzi sana,ana uhakika gani kua hawezi kurudiana na mainda au Johari?
Au ana uhakika gani kama Ray na Johari hawapashi kiporo?
Wako akiwa kwako..........
 
Kwani kaachwa kweli binamu?Tuanze kuwacheka akina geniveros...
mi staki johari awe na ray maana kamtesa sana mainda wa watu hadi kubadili dini na ray akamtema na johari alimdhulumu macdnonald ndo maana
mmh!! bora umeachwa maana ulikuwa unajishaua na huyo ray wako mpaka umeachwa pambafuu..

ila johari nae akimrudia utakua upuuzi
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa ni saa kumi kasorobo sheikh mbwana..........Ni Kazeze ni Kazeze.
 
Kwani kaachwa kweli binamu?Tuanze kuwacheka akina geniveros...

we hujui? kaandika facebook kuwa sijui atakuwa na nani baada ya kuachana na ray, halafu kasema ana nuksi na wanaume za watu wanampenda then wanamuacha, kumbe anajua kuwa alitoka na mpenz wa johari sasa alikuwa anajishaua nini, kaachwa bibi yule hana jipya tena, mimi nimefurah sana aiseeh alikuwa anajishaua mno aseeh...
 
Last edited by a moderator:
Huyo chuchu mpuuzi sana,ana uhakika gani kua hawezi kurudiana na mainda au Johari?
Au ana uhakika gani kama Ray na Johari hawapashi kiporo?
Wako akiwa kwako..........

si anajihami? apo ndo ujue sasa kuwa kaachwa rasmi, mimi sikuwahi kumkubal yule, alikuwa anajishaua saa arudi tu kwa mumewe...
 
mi staki johari awe na ray maana kamtesa sana mainda wa watu hadi kubadili dini na ray akamtema na johari alimdhulumu macdnonald ndo maana

ila johari nae akimrudia utakua upuuzi

johar wake ray tu
 
we hujui? kaandika facebook kuwa sijui atakuwa na nani baada ya kuachana na ray, halafu kasema ana nuksi na wanaume za watu wanampenda then wanamuacha, kumbe anajua kuwa alitoka na mpenz wa johari sasa alikuwa anajishaua nini, kaachwa bibi yule hana jipya tena, mimi nimefurah sana aiseeh alikuwa anajishaua mno aseeh...

Safi sana,mwanamke mshenzi yule simpendi!Basi tu sisemi sana.
 
si anajihami? apo ndo ujue sasa kuwa kaachwa rasmi, mimi sikuwahi kumkubal yule, alikuwa anajishaua saa arudi tu kwa mumewe...

Mimi pia,sikuwahi na wala sitokaa nimkubali chuchu....
Huyo mume akimrudia nitamuona wa ajabu sana.
 
mi staki johari awe na ray maana kamtesa sana mainda wa watu hadi kubadili dini na ray akamtema na johari alimdhulumu macdnonald ndo maana

ila johari nae akimrudia utakua upuuzi

Kumbe wewe humpendi Johari sababu ya Mainda eeh?Leo ndio nimejua.
Johari sitomshangaa akirudiana na La Aziz wake Ray,kuna ajabu gani?Tena wafunge na ndoa kabisa tushangilie.
 
Kumbe wewe humpendi Johari sababu ya Mainda eeh?Leo ndio nimejua.
Johari sitomshangaa akirudiana na La Aziz wake Ray,kuna ajabu gani?Tena wafunge na ndoa kabisa tushangilie.

sio km simpendi johari hamn nampenda sana ila mimi mwanamke yeyote anaevunja uhusiano wa mwenzie ananikwaza
 
sio km simpendi johari hamn nampenda sana ila mimi mwanamke yeyote anaevunja uhusiano wa mwenzie ananikwaza

Oh,uko kama mimi geniveros...sipendi kabisa kuona mtu anavunja uhusiano wa mwenzie.
Ila nifanye nini?nafurahi zaidi kumuona Ray na Johari.
 
Last edited by a moderator:
Oh,uko kama mimi geniveros...sipendi kabisa kuona mtu anavunja uhusiano wa mwenzie.
Ila nifanye nini?nafurahi zaidi kumuona Ray na Johari.

kwani shoga ako blandina si alipata mzunguu??
ndoa bass tena?!!!
 
Last edited by a moderator:
Ooh hawezi kuniacha!mamaye...k imekua roho ambayo ukiiacha unaaga dunia?
 
Huyo Chuchu Hans alikuwa na mbwembwe,inaonekana hatujui vizuri wanaume
 
Back
Top Bottom