Chuchu Hans Afunguka kuachana na Ray

Chuchu Hans Afunguka kuachana na Ray

ile safari ya kwa sangoma ya johari imezaa matunda haya dada zetu bongo movie
 
ile safari ya kwa sangoma ya johari imezaa matunda haya dada zetu bongo movie

Ahahhaha nakumbuka mtu aliwah piga simu global kuwa kamuona johar kwa sangoma khaa bongo mavi wachawi kiama nyoooo
 
Ahahhaha nakumbuka mtu aliwah piga simu global kuwa kamuona johar kwa sangoma khaa bongo mavi wachawi kiama nyoooo

Sangoma wa Bukoba, kumbe wahaya nao hawajambo
 
Ahahhaha nakumbuka mtu aliwah piga simu global kuwa kamuona johar kwa sangoma khaa bongo mavi wachawi kiama nyoooo

mkuu na mimi niliipata hii sasa nilivo ona hii mada nikajua sangoma kamaliza utata
 
aahahaa...mainda yupo busy na kanisa hatak bwana, chezeya virus vya kifua kikuu weye

Sasa inamaana huu mlolongo wote wana tb...ivi kati ya mainda na johari yupi wa kwanza kwa ray???
Afu mainda si kuna kipindi niliskiaga kaolewa na mchungaji
 
alimchagua mainda tuu johari mwizi km chuchu usimtetee hapa hana wema wowote huyo johari

Mainda kama hajaolewa simshauri kirudiana na ray aisee....ila nilisikiaga kaolewa na mchunganyi na kaokoka balaa.....ray ovyoo tu
 
we hujui? kaandika facebook kuwa sijui atakuwa na nani baada ya kuachana na ray, halafu kasema ana nuksi na wanaume za watu wanampenda then wanamuacha, kumbe anajua kuwa alitoka na mpenz wa johari sasa alikuwa anajishaua nini, kaachwa bibi yule hana jipya tena, mimi nimefurah sana aiseeh alikuwa anajishaua mno aseeh...

binam ahaa kama hizi habar za kweli nimefrah mno yaaani ndo ajue ukijua kupendwa na ujue na kukataliwa
 
G
yaani binamu badala ya kumshauri chagulaga azinduke usingizini aache kufanywa skrepa we unampa moyo anapendwa daah
too bad...!!!mana huyo chagulaga miss bugoyi kusoma hajui hata picha haoni llllooohhh!!!$
Good, uliona mbali bibie, hongera zako
 
Hahahaaaaa,mpuuzi yule.
HAO WASANII WA BONGO MOVIE NA BONGO FLEVA WANACHEZEANA KINYAMA UKIOA MSANII WA MOVIE UJUE UMEOLEA WASHKAJI MAANA HUTADUMU NAYE AKIENDA KUSHOOT ANASHOOT NA CHINI BORA KUOA MAMA LISHE
 
Back
Top Bottom