Chuchu Hans aringisha penzi la "RAY"

Chuchu Hans aringisha penzi la "RAY"

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans amedhihirisha kwamba ana mahaba niue kwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ' Ray ' kwa
kulinadi jina lake hadharani kwa kuvaa t - shirt iliyoandikwa Ray Kigosi

Tukio hilo lilichukua nafasi wikiendi iliyopita kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini lililofanyika katika Uwanja wa Taifa , jijini Dar ambapo mwanadada huyo aliambatana na mashosti zake kushuhudia burudani tofauti ikiwemo mechi ya timu ya Bongo Fleva na Movies anayoichezea mpenzi wake .

Chuchu alivaa t - shirt ya njano ambayo mgongoni ilikuwa imeandikwa Ray Kigosi kitu ambacho hakuwahi kukifanya kabla."Sioni tatizo kujinadi hadharani , atakayemaindi shauri yake , nafanya kitu roho inapenda bwana sijali maneno ya watu hata kidogo, " alifunguka Chuchu.usiku wa matumaini 2014. ..
 
Wewe chuchu na wewe si imeolewa wewe? Kazi umalaya tu na ulimbukeni wa kushobokea mastaa, na ndio maana ray kakuweka steringi kwenye movie ya too much kumbe anakula mzigo, mmh ndo mnayoyafanyaga kumbe hamuwi ma staa kwenye movie mpaka mpanuliwe mbele na nyuma mhh!!
 
chuchu nae ndo walewale
ila at least RAY ameku huru kwa mara ya kwanza ktk mahusiank
chezea tanga line weyeeee...?&$
 
Aiseeeeee warumi toka umerudi jukwaaa limekuwa amsha amsha kwa kwenda mbele kweli wewe mtu muhimu ulikuwa
 
chuchu nae ndo walewale
ila at least RAY ameku huru kwa mara ya kwanza ktk mahusiank
chezea tanga line weyeeee...?&$

Ray kamtangaza au yeye ndo kajitangaza, ulimbukeni wa umaarufu unamsumbua na yeye, mbona akina johar wamekamua maziwa miaka nenda rudi na watu wote wa mujini tulikuwa tunajua ilia ilikuwa kimya

Huyo sasa cheupe dawa, ndoa yake imemshinda sasa sijui kwa ray ataweza nini ambacho cha mwanzo kilimshinda.
 
Back
Top Bottom