Chuchu zake Zinauma Sanaaaaaaaaaa

Chuchu zake Zinauma Sanaaaaaaaaaa

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,176
Reaction score
10,068
Wakuu, ni about wiki ya pili now Shemeji/wifi Yenu Chuchu zake zinamuuma sana, yan nikzigusa tu anataka kulia kwa Maumivu, hii ni strange Behaviour since nimezna kuishi nae for more than 2 Months now.
Ushauri please kabla sijampeleka hospital.

Ni Modified SMS nimeipokea hivi Punde kutoka kwa Mshikaj wangu Beda
 
Kama hamtumii kinga angalieni MIMBA.

Hongereni in advance!!
 
Wakuu, ni about wiki ya pili now Shemeji/wifi Yenu Chuchu zake zinamuuma sana, yan nikzigusa tu anataka kulia kwa Maumivu, hii ni strange Behaviour since nimezna kuishi nae for more than 2 Months now.
Ushauri please kabla sijampeleka hospital.

Ni Modified SMS nimeipokea hivi Punde kutoka kwa Mshikaj wangu Beda

anaweza kuwa pregnant! ni hormones! mpe muda utona tofauti.
 
Nimejaribu kum sms comments zenu kwa haraka haraka sana, jamaa alikuwa anafikiri kumpeleka wife wake MEWATA, kuhusu angani Kongosho , alitakiwa aende juzi, kapitisha, May be pregnant as u suggested, but Jamaa anauliza can this be a sign of Pregnant? Lizzy , ni wife wa Jamaa so reckon Kuuza mechi sio la kuuliza hilo
 
Last edited by a moderator:
sio dalili ya mdudu kweli? yaani relation ya miezi miwili tu ushavuka hadi kwene chuchu? kesho atasema anaumwa sijui nini huko, keshokutwa utamkuta na vidonge, tuweni makini
 
Mh! angalia isijekuwa kuna jamaa inazichezeaga sana ukiwa haupo!
 
Bramo, mbona unajitetea hivi? Hata kama ni wewe ni mkeo na ruksa kuwa na wasi wasi naye lol
 
Last edited by a moderator:
Nimejaribu kum sms comments zenu kwa haraka haraka sana, jamaa alikuwa anafikiri kumpeleka wife wake MEWATA, kuhusu angani Kongosho , alitakiwa aende juzi, kapitisha, May be pregnant as u suggested, but Jamaa anauliza can this be a sign of Pregnant? Lizzy , ni wife wa Jamaa so reckon Kuuza mechi sio la kuuliza hilo
Sasa ushaambiwa lyaweza kuwa mimba alafu unauliza tena?!
 
Last edited by a moderator:
Du....si utuambie tu ni shemeji yetu...yaani hadi usingizie mtu?How come akuulize kwani weye gyno??
Anyway in short goli hilo....
 
Nimejaribu kum sms comments zenu kwa haraka haraka sana, jamaa alikuwa anafikiri kumpeleka wife wake MEWATA, kuhusu angani Kongosho , alitakiwa aende juzi, kapitisha, May be pregnant as u suggested, but Jamaa anauliza can this be a sign of Pregnant? Lizzy , ni wife wa Jamaa so reckon Kuuza mechi sio la kuuliza hilo

Bramo hata kama ni mkeo haina shida ni vizuri kuomba ushauri.
 
Back
Top Bottom