Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Twiga ndio kiboko ya mambaChui ni hatari sana!
Nilikiwa naangalia channel moja inaitwa NAT GEO WILD.Chui alidumbukia majini kama samaki akapambana na mamba na kumtoa nje akammaliza fasta!
Chui ni hatari kuliko mamba!
Sio tiger ni jaguarAngalia vizuri, siyo chui ni Tiger. Halafu mamba wa huko wanaonekana siyo wakali kama wa kwetu au huyu alikuwa mgonjwa. Nguvu ya mamba ku mayi aiseee
Watu na bifu zenu na hawa wala chipsi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hawa mamba wengine ni kama wanaume wa darisalama tuu.. sijawai ona mamba akipigwa na chui, tiger wala simba.