Chui amemfuata mamba majini akamzabua nje na kummaliza

Chui amemfuata mamba majini akamzabua nje na kummaliza

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Chui ni hatari sana!

Nilikiwa naangalia channel moja inaitwa NAT GEO WILD.Chui alidumbukia majini kama samaki akapambana na mamba na kumtoa nje akammaliza fasta!

Chui ni hatari kuliko mamba!
 
Mamba anaekalibia tani mmoja mhh nakataa. Labda mtoto wa mamba hata anaconda anameza mtoto wa mamba lakini si mamba alie komaa.
 
Mamba majini usisogeleee kabisa, huyo mamba alikuwa mgonjwa
 
Yaa! Ni kweli niliwahi kuiona hiyo Documentary kwenye Natgeo world
Mwanzoni sikuamini, nilifikiri utani lakini, kila ilivyokuwa inarudiwa niliamini ni ukweli, maana chui anatoka zake juu na kumuibukia mamba huko huko kwenye maji, mamba anataka kuleta rabsha lakini chui anazizima anambeba mamba na kutoka nae mtoni. I believe its true.
 
Huyo ni alligator ni mamba wadogo wadogo wanatpatikana sana south america sio wale crocodile wa Africa

Na Huyo jamaa sio chui ni jaguar na yeye anapatika huko huko SA ni very powerful big cat. Ni kazi rahisi tu kumkalisha alligator. Ila sio crocodile

Mr. Lion tu mfalme wa mwitu anamuheshimu crocodile huwezi kumkuta anakatisha anga zake.
 
Back
Top Bottom