Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,045
kweli mkuu anaconda hawezi kumeza crocodile huwa anacheza na alligator au Cayman ambao ni jamii ya mamba wanapatikana kwa wingi S-america ila wana maumbo madogo na hawako strong kulinganisha na crocodile ( lacoste).Mamba anaekalibia tani mmoja mhh nakataa. Labda mtoto wa mamba hata anaconda anameza mtoto wa mamba lakini si mamba alie komaa.
Chui ni hatari sana!
Nilikiwa naangalia channel moja inaitwa NAT GEO WILD.Chui alidumbukia majini kama samaki akapambana na mamba na kumtoa nje akammaliza fasta!
Chui ni hatari kuliko mamba!
Chui ni nini kwa kizungu..na Tiger ni nini kwa KiswahiliAngalia vizuri, siyo chui ni Tiger. Halafu mamba wa huko wanaonekana siyo wakali kama wa kwetu au huyu alikuwa mgonjwa. Nguvu ya mamba ku mayi aiseee
Ila huwa anamtolea povu na Mr. Crocodile anarudi majini though Mr. Crocodile akiamua panachimbikaHuyo ni alligator ni mamba wadogo wadogo wanatpatikana sana south america sio wale crocodile wa Africa
Na Huyo jamaa sio chui ni jaguar na yeye anapatika huko huko SA ni very powerful big cat. Ni kazi rahisi tu kumkalisha alligator. Ila sio crocodile
Mr. Lion tu mfalme wa mwitu anamuheshimu crocodile huwezi kumkuta anakatisha anga zake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mamba atakuwa shoga.
Kuna Jaguar wa America kusini huwa wanakula mamba kama kawaida, haijalishi mamba yupo majini au nchi kavu, mamba akiwaona tu huanza kutimua mbio kama wanaume wa dar wanavyokimbia wakimwona nyokahawa mamba wengine ni kama wanaume wa darisalama tuu.. sijawai ona mamba akipigwa na chui, tiger wala simba.
Hapana sio jaguar ni duma yuleSio tiger ni jaguar
Ungeweka picha za huyo mamba na chui tuwaone
Aisee!! Mkuu hii ni hatari sana
Ndio hivyo, mtoa post msimuone muongoAisee!! Mkuu hii ni hatari sana
KwakweliNdio hivyo, mtoa post msimuone muongo