Chui amemfuata mamba majini akamzabua nje na kummaliza

Chui amemfuata mamba majini akamzabua nje na kummaliza

Mamba anaekalibia tani mmoja mhh nakataa. Labda mtoto wa mamba hata anaconda anameza mtoto wa mamba lakini si mamba alie komaa.
kweli mkuu anaconda hawezi kumeza crocodile huwa anacheza na alligator au Cayman ambao ni jamii ya mamba wanapatikana kwa wingi S-america ila wana maumbo madogo na hawako strong kulinganisha na crocodile ( lacoste).
 
Kila mbabe na mbabe mwenzie hahahahahaa nimeshaiona mara kadhaa. Ila alimvizia, nadhani ingekua ni Man to Man Mshkaji angechemka. Tena Man to Man kwenye Uwanja wa Nyumbani?!! I am sure bonge angeomba hata support
 
Chui ni hatari sana!

Nilikiwa naangalia channel moja inaitwa NAT GEO WILD.Chui alidumbukia majini kama samaki akapambana na mamba na kumtoa nje akammaliza fasta!

Chui ni hatari kuliko mamba!
Lolong-crocodile.jpeg
mkuu unamuongelea mamba huyu pichani?
Au unamsemea mjusi guluguja???
 
Angalia vizuri, siyo chui ni Tiger. Halafu mamba wa huko wanaonekana siyo wakali kama wa kwetu au huyu alikuwa mgonjwa. Nguvu ya mamba ku mayi aiseee
Chui ni nini kwa kizungu..na Tiger ni nini kwa Kiswahili
 
Huyo ni alligator ni mamba wadogo wadogo wanatpatikana sana south america sio wale crocodile wa Africa

Na Huyo jamaa sio chui ni jaguar na yeye anapatika huko huko SA ni very powerful big cat. Ni kazi rahisi tu kumkalisha alligator. Ila sio crocodile

Mr. Lion tu mfalme wa mwitu anamuheshimu crocodile huwezi kumkuta anakatisha anga zake.
Ila huwa anamtolea povu na Mr. Crocodile anarudi majini though Mr. Crocodile akiamua panachimbika


Hii ya chini Mr. Lion amepigwa bao mpaka mdomo ukamwagika (check dakika 1.00)

 
Huyo ni jaguar na alligator. Alligator ni mamba wadogo nadhani wanapatikana amerika ya kas na kusini na hata jaguar wanapatikana pande hizo.
 
mwindaji amewindwa ....ila huyo mamba itakua alikua shoga
 
hawa mamba wengine ni kama wanaume wa darisalama tuu.. sijawai ona mamba akipigwa na chui, tiger wala simba.
Kuna Jaguar wa America kusini huwa wanakula mamba kama kawaida, haijalishi mamba yupo majini au nchi kavu, mamba akiwaona tu huanza kutimua mbio kama wanaume wa dar wanavyokimbia wakimwona nyoka
 
Ungeweka picha za huyo mamba na chui tuwaone
 
Back
Top Bottom