The conceited
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 440
- 496
upo sahihi kabisaHuyo ni alligator ni mamba wadogo wadogo wanatpatikana sana south america sio wale crocodile wa Africa
Na Huyo jamaa sio chui ni jaguar na yeye anapatika huko huko SA ni very powerful big cat. Ni kazi rahisi tu kumkalisha alligator. Ila sio crocodile
Mr. Lion tu mfalme wa mwitu anamuheshimu crocodile huwezi kumkuta anakatisha anga zake.