Chui Mweusi ( Black Panther ) aonekana Kenya

Chui Mweusi ( Black Panther ) aonekana Kenya

Yes picha ya pili ni photoshop. But the rest are real. Zimechukuliwa usiku na moja ya watafiti.
Chui aina hii ni very rare kuonekana.

Lakin wameweza kupata picha zake..
Na chui wa aina hii ni kweli wapo.
Photoshop at its best. Hiyo picha ya pili ukiangalia kwa umakini hizo nyayo za nyuma anawezaje kutembea huku zote zikiwa zinaonekana unyayo kwa wakati mmoja!? Au alikuwa anaelea bila kugusa ardhi hapo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nazani wewe ndio mwenye upeo finyu na sio watanzania siajabu hata iyo story hujaisoma umekimbilia ku comment tu, mana wameeleza sababu za kitaalam kwanini kawa na iyo rangi hata wale wa amerika ya kusini ni jaguars wa kawaida lkn wanakua na tatizo la pigments fulani ndio zinasababisha wanakua weusi next time fanya utafiti kidogo sio kuleta ujuaji na kutu dharau watanzania wenzako kumbe wewe mwenyewe hujui kitu
Na hiyo miguu Upo hivyo sababu ni kama anajaribu kuchungulia kitu hapo kushoto hivyo amesimama akijivuta taratibu.
 
Hawawezi kuishi? Huyo ameishije?
Usicho jua ni kwamba huyo chui ni product ya female na male leopards ambao wamebeba genes ambazo zinasababisha melanism kuongezeka kupita kiasi.
Ndio maana wanazaliwa weusi. Huyu ni chui kama chui wengine tofauti ni color tu.
But then again ni adim sana haya mambo kitokea. Ila si kwamba hawapo
Awo Black Panther kwa Africa hawawezi kuishi ni sawa na kumleta Dubu apa Africa, hawezi kuishi.
Wazungu wamewaleta kuna genetics issues, Apo Wazungu wanataka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu. Ni sawa na kukutana na Siberian Tiger Serengeti. Tatizo ni kwamba Watanzania wengi upeo wetu ni finyu sana. Ukijaribu kutofautiana mtazamo kwa hoja unaambulia kejeli na matusi. Mfano angalia huyo popoma nankumene alivyonishambulia hapo post #9.

Na watu wa aina yako ni hatari sana katika karne ya 21. Kwa hiyo Wewe unaamini Dunia ni duara!?
Pathetic!
Hawa chui wapo na chui mweusi kuzaliwa hutokana na gene mutation that causes an over-production of pigment. It's the opposite of albinism and although the leopard's coat appears black during the day.

So sio kwamba hawapo ila.. wapo ila adimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nazani wewe ndio mwenye upeo finyu na sio watanzania siajabu hata iyo story hujaisoma umekimbilia ku comment tu, mana wameeleza sababu za kitaalam kwanini kawa na iyo rangi hata wale wa amerika ya kusini ni jaguars wa kawaida lkn wanakua na tatizo la pigments fulani ndio zinasababisha wanakua weusi next time fanya utafiti kidogo sio kuleta ujuaji na kutu dharau watanzania wenzako kumbe wewe mwenyewe hujui kitu
Mpuuzi wahedi we!
 
Back
Top Bottom