😀 jamaniii imenibidi tu nicheke Mkuu dahngoja nkuache huwenda nkawa nabishana na chui mwenyew hapa
Mnabishanaje na waliowahi kuugua vifafa.ilawe ndi popoma bcoz hii habari imeripotiwa kwe international media kadhaa including CNN na indiantumes, wataalamu wanaijadili huko we mmatumbi umekalia ubishi
Photoshop at its best. Hiyo picha ya pili ukiangalia kwa umakini hizo nyayo za nyuma anawezaje kutembea huku zote zikiwa zinaonekana unyayo kwa wakati mmoja!? Au alikuwa anaelea bila kugusa ardhi hapo!?
Na hiyo miguu Upo hivyo sababu ni kama anajaribu kuchungulia kitu hapo kushoto hivyo amesimama akijivuta taratibu.nazani wewe ndio mwenye upeo finyu na sio watanzania siajabu hata iyo story hujaisoma umekimbilia ku comment tu, mana wameeleza sababu za kitaalam kwanini kawa na iyo rangi hata wale wa amerika ya kusini ni jaguars wa kawaida lkn wanakua na tatizo la pigments fulani ndio zinasababisha wanakua weusi next time fanya utafiti kidogo sio kuleta ujuaji na kutu dharau watanzania wenzako kumbe wewe mwenyewe hujui kitu
Awo Black Panther kwa Africa hawawezi kuishi ni sawa na kumleta Dubu apa Africa, hawezi kuishi.
Wazungu wamewaleta kuna genetics issues, Apo Wazungu wanataka
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah wa misri wehu sana haha ...walipiga hela mno aise[emoji23] kama wamisri washawahi kumpaka rangi punda kama za pundamilia,wwkawa wanawapiga watalii wakijua ni pundamilia
Hawa chui wapo na chui mweusi kuzaliwa hutokana na gene mutation that causes an over-production of pigment. It's the opposite of albinism and although the leopard's coat appears black during the day.Kabisa mkuu. Ni sawa na kukutana na Siberian Tiger Serengeti. Tatizo ni kwamba Watanzania wengi upeo wetu ni finyu sana. Ukijaribu kutofautiana mtazamo kwa hoja unaambulia kejeli na matusi. Mfano angalia huyo popoma nankumene alivyonishambulia hapo post #9.
Na watu wa aina yako ni hatari sana katika karne ya 21. Kwa hiyo Wewe unaamini Dunia ni duara!?
Pathetic!
Aisee mkuu unahoja dhaifu sana. Mbona wataalam wamesha explain hiyo kitu hutokana na nn.Kabisa mkuu. Yaani Chui kasimamia vidole kama Michael Jackson kwenye Beat It!
Kuna popoma mbili zimebisha utafikiri nimetunga. Dah watu weusi tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Kwanini watuwahi na mkuu wa mkoa Kilimanjaro yupo,waziri wa utalii yupo katibu wizara utalii yupo..TBC na utalii Channel wapo..
Mpuuzi wahedi we!nazani wewe ndio mwenye upeo finyu na sio watanzania siajabu hata iyo story hujaisoma umekimbilia ku comment tu, mana wameeleza sababu za kitaalam kwanini kawa na iyo rangi hata wale wa amerika ya kusini ni jaguars wa kawaida lkn wanakua na tatizo la pigments fulani ndio zinasababisha wanakua weusi next time fanya utafiti kidogo sio kuleta ujuaji na kutu dharau watanzania wenzako kumbe wewe mwenyewe hujui kitu
Mpuuzi wahedi we!
Karibu tena mkuu.asante mkuu