Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Mtaendelea kuwabariki wapinzani wa Simba Sports hadi atapochukua kombe la Ubingwa wa Afrika.Hao simba wenu watakipata cha moto. Waarabu sio wa sport sport bana.
Mungu ibariki AL AHLY
Nawaombea SIMBA watolewe mapema.
Mi nawaombea Yanga wachukue kabisa hili kombe mana nasikia na wenyewe wamefuzu hatua ya magroup kundi ZHao simba wenu watakipata cha moto. Waarabu sio wa sport sport bana.
Mungu ibariki AL AHLY
Nawaombea SIMBA watolewe mapema.
Ndio hivyo ndugu yangu yoyote mwenye mapenzi mema na Simba lazima atagundua Manara ni tatizo. Wakina Guadiola sio wajinga wanaposifu uwezo wa wapinzani wao kabla ya mechi. Kwenye ngumi mabondia huwa wanatumia lugha za kuudhi kabla ya pambano ili mpinzani wake apandwe na hasira. Na siku zote ukipigana kwa hasira unapoteza umakini lakini kwenye mpira ni tofauti. Unapomtia hasira mpinzani wako ndio anazidi kuongeza umakini kuhakikisha anakufunga au apate matokeo yoyote positive.Mkuu tuache ushabiki tuje kweny ukweli japo huwa mchungu uliyosema ni kweli 100%√√√ manara anatuponza sana Simba na hana tofaut na Masau bwile nae anaiponza timu yake ukiongea maneno mbovumbovu ya kujiamini sana kuwa lazima nitamfunga mshindani wangu nae anajipanga ili kuficha aibu na. Kutaka kukata kauli zako hata kama hana faida na matokeo ushindi ktk ule mchezo ila kwa matusi yako na namna ulivojigamba aanaamua kukuzia kwani ni uongo mara ngap tunaona simba tunacheza na vitimu vya kawaida na vinatukamia na mwisho wa siku tunaaibika kwa kichapo kama sio suhuru nk... Manara ajitathimini kwa mwendo wake huo hatufai abadilike la sivo apige chini anajisifu sana acha majisifu fanya v oh vizur watu wakusifie sio ujisifu wewe no narudia tena kama manara hatabadilika na akaachwa aendelee kuwa msemaji wa simba tutakuwa na wakat mgumu sana kuwahi kutokea.. Pamoja na kuwa na hera pia na kikosi kizuri yangu ni hayo tu.. Nampenda msemaji wa yanga au azam akihojiwa anavojibu hadi raha lakini huyu. Mwite wetu ni shida ki2 kidogo tu mijisifa kibao mpaka anaharibu kama sio kuboa.. Ni kweli ktk michuano hiyo ya club bingwa afrka sisi simba ni underdog kwan kuna ubishi hapo ila tu mpira unadunda na mwamzi ni dakika 90 ila ukweli lazima usemwe kama ulivo.. Otherwise time will tell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro hilo kapelo mbona halijafiti kichwani?! Hicho kichwa na shingo mbona havina ushirikiano?!
Wewe kila ikiletwa habari inayohusu waarabu huwa unajitoa akili kabisa.Hao simba wenu watakipata cha moto. Waarabu sio wa sport sport bana.
Mungu ibariki AL AHLY
Nawaombea SIMBA watolewe mapema.
Wewe kila ikiletwa habari inayohusu waarabu huwa unajitoa akili kabisa.
Wewe kila ikiletwa habari inayohusu waarabu huwa unajitoa akili kabisa.
Mbona mihemko jombaa. Dini zinacheza mpira?!Harufu ya udini inanukia. Tafadhali jikite kwenye mada.
Si wote Simba?, acha wapambane,hajji leo alikuwa anamchana efm na kitenge........Unaweza kuniuliza kwanini nasema chuki binafsi, Haji hataki Dauda aikosoe Simba kwa namna yoyote ile
Wachambuzi wengi wanatoa maoni yao juu ya Simba na Haji asemi chochote ila kwa Dauda ni ugomvi
Licha ya mapungufu ambayo Shaffi anayo ni ubinadamu tu, Haji huwezi kumzuia kutoa maoni yake kama mchambuzi. Hata yeye Haji uwa anakosoa na anatoa maoni yake mara nyingi tena kwa kejeli
Kwann Dauda tu? Huwezi kuzuia ukweli Simba ni underdog katika kundi lao huo ndio ukweli. Je, unataka usisemwe?
Shida ya Haji ni jeuri, kiburi, majivuno na ujuaji mwingi ili lazima akubali na anatakiwa kujirekebisha, ukimsikiliza wakati anahojiwa na media huwa anajibu kijeuri sana. Mbaya zaidi ajijui kama anamatatizo hayo niliyotaja..
Najua unapita JF au wapambe wako acha kujifanya TFF. Simba ni club ya Wananchi umeikuta na utaiacha, acha watu watoe maoni yao bila kuvunja sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jirekebishe....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajji na shaffi wote Ccm na wote Simba, sasa hapo unataka kusema nn? Wakati wa uchaguzi shaffi madee na wenzake waliandaa mashindano fulani kuunga wkt wa kampeni,hajji inafahamika wazi
Haji anaongea hadi mambo ya kocha,yaani anaongea kama yupo kijiweni anabishana huku wanakunywa kahawaKatika wasemaji wa team zetu hapa TZ, Dismas Ten naona ndo msemaji mwenye uweledi zaid na busara za hali ya juu.
Kuna wakat mpaka huwa nasema kwanin huyu jamaa asingekuwa msemaji wa team yangu Simba? Haji anakosa uweledi kwa majivuno yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kukosaHivi manara yupo jamvini humu ?
wachambuzi uchwara hao jamaaAisee. Unataka kuniambia katika nafasi ya manara simba akubali kuwa ni underdog? Hapo unacheza mchezo wa saikolojia ndugu. Hata kama ni mimi ningekuwa manara na kwa nafasi yangu nisingeukubali huo upuuzi, Once shafii na geoff lea ndio hao walitangaza kwenye sports extra kuwa Nkana anakuja kuipiga simba nyumbani, tena kwa kuidharau simba dhidi ya mpinzani wake. Ukiangalia hiyo clip ya shafi ndio utaona hakuna uchambuzi bali lengo binafsi, eti alhahly ana point zake sita, vital wanapoint zao sita. Sasa mchambuzi kama huyu acha atolewe povu tu.
UMeulizwa swali rahisi, unatoa maelezo yasio na kichwa wala miguu, “kivipi mnasema simba ni underdog kwa js soula?”Hao simba wenu watakipata cha moto. Waarabu sio wa sport sport bana.
Mungu ibariki AL AHLY
Nawaombea SIMBA watolewe mapema.
Kwa sababu wao wamesinya mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania lakini Simba haijasinya mchezaji wa Timu ya Taifa ya Algeria? Nauliza tu.UMeulizwa swali rahisi, unatoa maelezo yasio na kichwa wala miguu, “kivipi mnasema simba ni underdog kwa js soula?”