gm man
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,177
- 1,455
Haji aliwahi kukiri insta kuwa anaugomvi binafsi na shaffih... Sasa nkajiuliza kama anaugomvi binafsi Kwann anamuatatack dauda katika Mahala pasipo sahihi??
Dauda alipost Picha yammoja wa wachezaji wa simba akiwa ameediti Picha ikiwa nusu jezi nyingine.. Haji aliwaka sana.. Nkajiuliza kosa la shaffih pale ni lipi??
Siamini kama haji anafaa kuwa msemaji wa timu... Haji alitakiwa awe na cheo cha uhamasishaji wa mashabiki wa simba na si msemaji
Sent using Jamii Forums mobile app