inferiority complex. Hata yule dc wa arumeru alimwambia anatakiwa apewe ulinzi maalum
Kwanini usijikite kwenye hoja kama wengine.. Kuliko kuongelea ulemavu wa mtuManara ni mlemavu wa ngozi ambayo ni moja ya milango ya fahamu, unahisi fahamu zake zitakuwa sawa wakati moja ya milango yake ina ulemavu?
Sent using Jamii Forums mobile app
UMeulizwa swali rahisi, unatoa maelezo yasio na kichwa wala miguu, “kivipi mnasema simba ni underdog kwa js soula?”
Shafi ni MC wa vigodoro ndio level yakehivi unawajua wachambuzi wa mpira?
Dauda hawezi kua kwenye kundi hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mkuu, hii issue toka kipindi dauda hata account yake haija hakiwa bado walikuwa na mzozo. Kuna mabifu ya kibiashara lkn kwa hili sio biashara bali ni ugomvi kabisa , sababu sisi watu wa "public relations" tunaweza determine kupitia mwandiko wa mtu kugundua huu ni utani au Lah......lkn ile andika ya Manara , tone yake na Mood inaonesha ni ya chuki. Lkn kosa lipo kwa Manara yy anavyofanya anaona ndio anapatia kazi ya PR ila ukweli anapwaya sana ndio mana hajui hata kuandika "Media release" wala kusecure information kwa kutumia"position paper". Mzee PR anamajukum mengi sana na sio anayofanya Manara coz kwenye organization yeyote baada ya MD na CEO ni PR, huy ni mtu anaye wasiliana na hao ma MD na CEO direct sasa jiulize hayo Manara anafanya lini,? Umesikia pale kwenye page yake akiwajulisha fans wa club kuhusu analysis of GAM(annual general meeting) zaidi ya kelele kwenye social media af yy akijua ndio yupo on right track!!!!! Bongo ujanja ujanja sana kuliko taalumaNikikuita mpumbavu nitakuwa nimekosea? Pale hakuna bifu ni urafiki tu na kinachoendelea kinafanyika ili shaffih dauda avune followers tena mabifu waga mnayo ninyi mashabiki maandazi.
.
Kwenye bifu za akili kama hizi ni wapumbavu tu ndo huwa wanaropoka hovyo wenye akili huendelea na mambo yao,ni kama bifu la nick minaj na Card B ilikuwa iko kibiashara zaidi na nilazima mmoja aonekane mnyonge ili kitu fulani kiende.
Dauda ni mchambuzi wa matembele na sio mchambuzi wa soka.Hata we unamapungufu km binadamu ,km dauda alivyokuwa na mapungufu...sasa kwann haji anataka kumzuia dauda hasifanye kazi yake km mchambuzi...?
Pia tambua kuna ukweli na kuponda unataka kuniambia simba sio underdog kwenye kundi lile?
Sent using Jamii Forums mobile app
"Dismas Ten"Nadhani majina ya hizi tittle zinawafanya wengi kuwa "WATU WA KUBWABWAJA TU aka KUSEMA CHOCHOTE" nadhani wangefanya kazi kama "MAAFISA HABARI WA TIMU" naona mambo ya UWEDI yangezingatiwa....nadhani mbali na Dismas Temu, kuna msemaji wa AZAM Ndg. Maganga
Serikali gani imeiambia Yanga ifanye uchaguzi?HAMNA ww yule mtangazaji na mwenzie wa kituo kimoja cha kazi wanapenda sanaaa kuiponda SIMBA SC kila zuri simba wanalofanya wale mabwana wao kwao BAYA mimi namshauri huyo bwana mchambuzi wa kandanda AKAANZISHE CLUB YAKE ALAFU NDIO AIKOSOE KOSOE KILA ANAPOJISIKIA wala hakutakuwa na mtu wa kumpangia na kumzuia ila pale SIMBA SC watu wame weka PESA zao NYINGI tu sio kapesa kakuendesha tuvimichuano vya MANDONDO PESA iliyowekwa SIMBA inafungua redio kama anayofanyia kazi yy zisizopungua 5 tena classic studios Hivyo bac WATU pale SIMBA sc wapo MAKINI kila kunapo kucha kuna watu wana umiza AKILI zao juu ya iyo michuano sio kuimba konjera za kukosoa MBONA hakosoi YANGA ambao mpaka leo hawaja fanya uchaguzi licha ya serikali kuwaambia wafanye uchaguzi
Uchambuzi ndiyo huo.Huyu Shafih ni mpumbavu tu,..nmesha Mu unfollow zamani tu huko Instagram, jamaa Sio mchambuzi bali ni muimba ngojera tu, just imagine Simba Now wako katika molari ua juu sana wakiamini wanaweza kila kitu, Ety anakuja mpuuzi mmoja na kuharibu morali yenu Kwa kuwaita vibonde?..
Kwani africa kuna Timu ngapi?. Zilizofanikiwa kupenya kwenye 16bora ni ngapi?. Why aseme ni kibonde?.angesubir hii hatua ya makundi kuisha then aje na mawazo yake,
Sikatai manara anayo mapungufu, hila pia mchango wake klabuni ni Mkubwa sana..
Hiyo dauda atulize genye achambue Mpira, Sio kila kukicha yeye ni kuibeza Simba tu,uchambuzi wake ni Simba tu.
mjomba ww inaonekana ni underdog ktk maswala ya sports na kufuatilia habari za michezo ..bac sio case last year wizara ya michezo kupitia baraza la michezo MBT kuwaagiza tff wasimamie uchaguzi wa club ya yanga kama kuna mdau wakukuongezea content atajitokeza lkn itoshe tu kukupa taarifa hiyoSerikali gani imeiambia Yanga ifanye uchaguzi?
Duuh huwa najua ni Temu kumbe ni Ten...ahsante kiongozi kwa kuweka rekodi sawa"Dismas Ten"
Baraza la michezo ni MBT?mjomba ww inaonekana ni underdog ktk maswala ya sports na kufuatilia habari za michezo ..bac sio case last year wizara ya michezo kupitia baraza la michezo MBT kuwaagiza tff wasimamie uchaguzi wa club ya yanga kama kuna mdau wakukuongezea content atajitokeza lkn itoshe tu kukupa taarifa hiyo
Nafikiri umesha elewa sasaBaraza la michezo ni MBT?
Are you serious?
Not to that extentNafikiri umesha elewa sasa
Not to that extent[/QUOTE
Bac kama hata hayo maelezo madogo uwelewi wahi milembe kabla vyumba havijaishaaaa
....... Tatizo sio Manara tatizo ni huyo Shafii Dauda anayejifanya kujua kila kitu .. Ujuaji wake wa kujifanya mjuaji umepitiliza na kuwa kero Kwa jamii .. Kukosoa sio dhambi na kukosolewa pia sio mbaya lakini unapokosoa Kwa kuiponda Simba ya Tanzania tena Kwa dharau iliyopitiliza humuudhi Manara Bali unawaudhi wana Simba ambao Manara ni msemaji wake ... Kwanini uchambuzi uwe wa kuponda tu? Chambuzi hata kama Simba ni underdog sasa Dauda anatoa ushauri gani Kwa Simba ifanye nini kupambana na hapo Dauda anaowapa kipaumbele ? ....vinginevyo binafsi naona uchambuzi wa Dauda sio uchambuzi Bali ushabiki wa kishamba uliopitwa na wakatiUnaweza kuniuliza kwanini nasema chuki binafsi, Haji hataki Dauda aikosoe Simba kwa namna yoyote ile
Wachambuzi wengi wanatoa maoni yao juu ya Simba na Haji asemi chochote ila kwa Dauda ni ugomvi
Licha ya mapungufu ambayo Shaffi anayo ni ubinadamu tu, Haji huwezi kumzuia kutoa maoni yake kama mchambuzi. Hata yeye Haji uwa anakosoa na anatoa maoni yake mara nyingi tena kwa kejeli
Kwann Dauda tu? Huwezi kuzuia ukweli Simba ni underdog katika kundi lao huo ndio ukweli. Je, unataka usisemwe?
Shida ya Haji ni jeuri, kiburi, majivuno na ujuaji mwingi ili lazima akubali na anatakiwa kujirekebisha, ukimsikiliza wakati anahojiwa na media huwa anajibu kijeuri sana. Mbaya zaidi ajijui kama anamatatizo hayo niliyotaja..
Najua unapita JF au wapambe wako acha kujifanya TFF. Simba ni club ya Wananchi umeikuta na utaiacha, acha watu watoe maoni yao bila kuvunja sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jirekebishe....
Sent using Jamii Forums mobile app