Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Baada ya Magufuli kumtumbua yule mmama ambaye wakati fulani aliingia kwenye ligi na Bulaya kuhusu kikokotoo aliendelea mbele zaidi na kuivunja ile Ofisi ya yule mmama yaani SSRA na kisha kuamua yeye mwenyewe kusimamia mifuko ya pensheni.
Katika kutekeleza ilo akamchukua Msukuma mwenzake kutoka NSSF na kumfanya kuwa mtendaji Mkuu wa Mfuko huo uku akimpa amri kila siku mambo ya kufanya kwa kuwa huyo jamaa awezi kumkatalia kama yule Sanga alivyokuwa hapendi kuamrishwa kuwa kinyume na Sheria.
Sasa huyu Mkuu wa Mfuko anapata shida kwa sasa kwa sababu Mfuko hauna pesa za kuwalipa wastaafu waliostaafu tangu Mwezi wa sita Mwaka huu. Hivi juzi mkuu wa Mfuko huu alimweleza Mkulu kuwa mfuko hauna ela akamkemea sana km mtoto mdogo na kumwambia nisisikie ukisema uko wapinzania wakasikia.
Kinachendelea ni wastaafu hawa kuteseka tu hamna pensheni na Mkulu na Serikali yake wamegoma kupeleka hela kwenye mfuko. Hapo sasa ndiyo watu wanamkumbuka Sanga ambaye alikuwa hapindishi mambo!