Tetesi: Chuki inaendelezwa - idadi ya wastaafu ambao hawajalipwa pensheni inaongezeka

Tetesi: Chuki inaendelezwa - idadi ya wastaafu ambao hawajalipwa pensheni inaongezeka

Sasa tuwape Wanafunzi mikopo au tulipe Wastaafu? tatizo mnafikiri kuendesha nchi ni jambo la mchezo.
 
Unaweza kuwa na pointi lakini umechanganya mambo sana,mfuko unao uongelea ni PSSSF au NSSF? Maana usipofafanua kwenye hili,mada yako itakuwa inapotosha sana,Erio ndo DG wa NSSF, na mara ya mwisho nimeulizia Erio sio Musukuma labda kama kabadili kabila hivi karibuni😂😂😂
Soma vizuri - sijaongelea NSSF nimeongelea Mfuko mpya ambao Mkuu wake ni Mashimba aliyetoka NSSF kwa Erio. Huyo bwana ni Msukuma wa kwao kabisa na Mukulu na ndiye alikuwa anampelekea maneno hadi akina Sanga na na yule mmama wa SSRA wakatumbuliwa.
 
Baba yangu alikaa miaka miwili bila kupata mafao yake. Kwa muda wote huo mama ndio alikuwa anapiga mishe kuhakikisha home panakaa sawa vinginevyo sijui ingekuwaje... Now mzee aliishapata mafao yake na anaishi maisha yake na anaichukia ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom