Tetesi: Chuki inaendelezwa - idadi ya wastaafu ambao hawajalipwa pensheni inaongezeka

Sasa tuwape Wanafunzi mikopo au tulipe Wastaafu? tatizo mnafikiri kuendesha nchi ni jambo la mchezo.
 
Soma vizuri - sijaongelea NSSF nimeongelea Mfuko mpya ambao Mkuu wake ni Mashimba aliyetoka NSSF kwa Erio. Huyo bwana ni Msukuma wa kwao kabisa na Mukulu na ndiye alikuwa anampelekea maneno hadi akina Sanga na na yule mmama wa SSRA wakatumbuliwa.
 
Baba yangu alikaa miaka miwili bila kupata mafao yake. Kwa muda wote huo mama ndio alikuwa anapiga mishe kuhakikisha home panakaa sawa vinginevyo sijui ingekuwaje... Now mzee aliishapata mafao yake na anaishi maisha yake na anaichukia ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu ya Mwanamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…