Mvaa Andrew Mlangwa
New Member
- May 25, 2018
- 1
- 0
Uje father tupate madiniAnko nitakuja hapa
Kakukosea nini?Chuki nyingine ni kama tradition hazina sababu ni za kurithisha
Mfano japo sio relevant na ulicho uliza mimi jobless automatically lazima nikuchukie wewe mtumishi
Kashasema ni mfano chill relaxKakukosea nini?
Anakuathiri vipi?
Hata akitoka kwenye hio nafasi wewe utapewa ama?
Baadhi ya chuki sijui mtamuambia nini Mungu
Ubaya hauna sababu,unaweza ukachukiwa na mtu bila sababu,kwa jinsi ulivyo tu,sio kwa sababu ya kipato,au upendeleo,au utendaji wako upo juu,watu wanaweza kukuogopa na kukuchukia kwa kile wanachokiona ndani yako,inaweZekana wanahofia kwa ufanisi wako,unaweza ukapanda juu fasta ukawazidi,au walikuchukulia poa,the first time they saw you,they SIZED you,and concluded that ur average guy,but now,they are shocked that ur not the average guy they thought you were,you have over performed,beyond their expectation!!Habari ya wakati huu ni matumaini yangu nyote mpo salama.
Moja kwa moja niende kwenye mada husika.
Najua binadamu tuko tofauti lakini ningependa kupata comments tofauti tofauti kujua nini hasa hupelekea. Chuki, visasi, roho za kutendeana ubaya, malipizi, na mengineyo yasiyopendeza huletwa na nini?
Je, ni kwakuwa hujui na unaonekana mzigo?
Je, unajua zaidi yao na unaonekana kama tishio?
Au ni basi tu mtu anaamua kukuchukia bila sababu ya msingi na kukuombea kila uchwao ukumbwe na baya?
Ninakaribisha maoni.
Shimba ya Buyenze , Mshana Jr Watu8 , Omerta, @Da’Vinc , na wapendwa wengine karibuni.
Ukali Wote wa nini mrembo?Kakukosea nini?
Anakuathiri vipi?
Hata akitoka kwenye hio nafasi wewe utapewa ama?
Baadhi ya chuki sijui mtamuambia nini Mungu