Chuki Simba na Yanga

Ni lini imetokea viongozi wa madrid wakavaa jezi za Manchester United na kwenda kuwapokea airport wachezaji wa Manchester
Na kuwapa mbinu ya kupambana na Barcelona?

Hizi zinazoendelea hapa kwetu ni chuki na sio utani wa jadi..
 
Zamalek waliwahi kuandika press release ya pongezi kwa Al Ahl,mashabiki wakachukizwa baadae wakaifuta
 
Unajua maana ya utani wa jadi?
Utani wa jadi umepitiliza kwa sasa ni chuki chuki,na chuki kubwa ipo kwa simba inapambana kwa kila hali Yanga isifikie mafanikio waliyoyapata wao kwenye caf champion league
 
Kwa mfano leo, wewe mwanachi wa Young African unayetamani mnyama afungwe, umekaa chini ukajitafakari kwa makini kwamba ni sahihi unachofanya? Wabongo tuko tayari kushabikia al hilal au mazembe ila sio vya nyumbani. Hujachelewa, anza sasa

Utani ubaki ligi kuu huku kwingine tupeane support
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…